Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Ukweli mchungu

Sizioni tena zile kampa kampa tena za Yanga
 
Nilichopenda kwa yanga ni kuwa hawashindani na coastal bali wanacheza kwa uzoefu mana wanajua umri wao mkubwa kukimbia muda wote hawawezi
 
Gamondi anapendelea baadhi ya wachezaji plus huko mazoezini msimu huu inaonekana wanatumia muda mwingi kupiga stori tu.

Sijapenda kabisa ninachokiona msimu huu.
 
Huyu kibendera awe serious, ile si kona. Hivi hawa marefa hawana la kupoteza wanapofanya makosa? Maana wanafanya makosa ya wazi mno.
 
Yanga wachezaji wake hawana nidhamu diara suspended kwasababu ya kadi za njano yule kocha wa yanga kama sio waamuzi kukesha GSM basi angekuwa kila mechi anakula njano hana nidhamu hta kidogo.
Mm ni YANGA ika hii kitu ulosema ni kweli
Gamondi na DIARA hawana nidhamu kabisa kwa refa

Lakini shida inakuja marefa wenyewe ni wangese bila kwenda nao hvyo wanakuharibia mechi yako

Hujiulizi Mbna mechi za kimataifa GAMONDI anakuwa na nidhamu nzuri 7bu kuu marefa wamenyooka hawana Ungese kama hawa wa ligikuu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mm ni YANGA ika hikinu alosema ni kweli
Gamondi na DIARA hawana nidhamu kabisa kwa refa

Lakini shida inakuja marefa wenyewe ni wangese bila kwenda nao hvyo wanakuharibia mechi yako

Hujiulizi Mbna mechi za kimataifa GAMONDI anakuwa na nidhamu nzuri 7bu kuu marefa wamenyooka hawana Ungese kama hawa wa ligikuu
Kweli, marefa wanafanya makosa mengi na yanajirudia rudia.
 
Yanga wachezaji wake hawana nidhamu diara suspended kwasababu ya kadi za njano yule kocha wa yanga kama sio waamuzi kukesha GSM basi angekuwa kila mechi anakula njano hana nidhamu hta kidogo.
Unasema wachezaji wa Yanga alafu umemtaja Diara. Yani kisa Diara umeshahitisha wachezaji wa Yqnga hawana nidhamu. Kwahiyo Simba hamjawai kusimamishiwa mchezaji kwa kadi
 
Tuambizane.
Hivi kuna shambulizi lolote mmeona toka kwa Uto?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom