Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Tuambizane.
Hivi kuna shambulizi lolote mmeona toka kwa Uto?
Wana papatu papatu mno, ni vile hawa coastal si wafungaji ila wametengeneza nafasi nzuri mara nyingi mno kuwashinda.
 
Wana papatu papatu mno, ni vile hawa coastal si wafungaji ila wametengeneza nafasi nzuri mara nyingi mno kuwashinda.
refa alisaidia msinyukwe chuma ya tatu akapuliza filimbi coastal wakiwa wanaenda kufunga goli la ushindi
 
Hii mechi imeletwa kwenye kiwanja hichi kwa mkakati maalumu ili Yanga adondoshe point. Uwanja sio rafiki kabisa kwa aina ya uchezaji wa Yanga
Kwamba vyura tu ndo wamechezeshwa huu uwanja wengine hawachezi?
 
Coastal wamefunga goli ila bahati mbaya offside yao ipo wazi mnooo si kama ile ya Yanga iliyojificha mno.
 
Back
Top Bottom