Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Deportivo la Utopolo wana muendelezo mzuri wa kubebwa na waamuzi.

Tena tushukuru sasa tuna TV tunashuhudia wenyewe, enzi za Radio Tanzania, walikuwa wanafukia yote haya ndiyo maana tulikuwa tunaenda miaka 20 hatujaingiza timu makundi kumbe tuna bingwa wa mchongo.
 
Tunawakumbusha tuu,sanduku la maoni pale TFF bado halijajaa.
Malalamiko FC wanajulikana ni kina nani. Si tumeshawazoea, ni vile tunajenga timu na ikikaa sawa mfumo wenu wa barua za malalamiko utarudi.
 
Kuna mambo yanashangaza sana! Yaani waliofungwa ni Wagosi wa Kaya Coastal Union, ila wanaolia kutokana na hicho kipigo, ni mashabiki wa simba!!
 
Deportivo la Utopolo wana muendelezo mzuri wa kubebwa na waamuzi.

Tena tushukuru sasa tuna TV tunashuhudia wenyewe, enzi za Radio Tanzania, walikuwa wanafukia yote haya ndiyo maana tulikuwa tunaenda miaka 20 hatujaingiza timu makundi kumbe tuna bingwa wa mchongo.
Uzuri sisi Yanga Mabingwa wa kihistoria wala hatutishiki na maneno yenu,sisi tunachojali ni kuchukua Ubingwa kila mwaka na kumkanda kolo.
 
Deportivo la Utopolo wana muendelezo mzuri wa kubebwa na waamuzi.

Tena tushukuru sasa tuna TV tunashuhudia wenyewe, enzi za Radio Tanzania, walikuwa wanafukia yote haya ndiyo maana tulikuwa tunaenda miaka 20 hatujaingiza timu makundi kumbe tuna bingwa wa mchongo.
Punguza ushuzi baridi
 
Mm ni YANGA ika hikinu alosema ni kweli
Gamondi na DIARA hawana nidhamu kabisa kwa refa

Lakini shida inakuja marefa wenyewe ni wangese bila kwenda nao hvyo wanakuharibia mechi yako

Hujiulizi Mbna mechi za kimataifa GAMONDI anakuwa na nidhamu nzuri 7bu kuu marefa wamenyooka hawana Ungese kama hawa wa ligikuu
Kuna siku watamuingiza kwenye mfumo.
 
Diara anacheza AZAM we unaona kawaida kipa kupata hyo adhabu.
Juzi tu hapa kuna kipa kala nyekundu mexhi na Yanga. Kumbe na hiyo timu haina nidhamu. Makipa wengi wanapewa kadi za njano kwa ajili wa kupoteza muda. Basi timu nyingi duniani hazina nidhamu kwahiyo ni kawaida tu
 
Lile si tukio planned kabisa kwani kuna kipa hajui kudaka nje ya box ni red card.
 
Hii Yanga ya kabao kamoja kamoja inanitia wasiwasi sana. Presha inapanda inashuka.
 
Back
Top Bottom