joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Waamuzi wetu vichekesho.... alichezea faulo ndiye kapewa kadi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina shangaza kaangalia alie lalamika zaid 😅Waamuzi wetu vichekesho....
Hapo hapo ArushaUyu refa wamemtoa wapi kilaza hivi
Amepewa bahasha tayari Unategemea nini?!Uyu refa wamemtoa wapi kilaza hivi
Refa ni Mduduu wa Chuga,kala mmea🤣🤣Hapo hapo Arusha
Coastal union wanajua wanachokifanya mdhamini mkuu wao ni kinyesi fc.Duh, Coastal wamefungwa goli la kijinga mno.
Si kama jana Namungo wa GSMCoastal union wanajua wanachokifanya mdhamini mkuu wao ni kinyesi fc.
Kumbe mpo nilijua na hili mtabisha.Si kama jana Namungo wa GSM
Hasira hizi za nini,yaani wewe ushindwe kutoa hata droo zidi ya Yanga ndio utegemee coastal uliedroo nae nyumbani kwako aifunge Yanga?Yanga wachezaji wake hawana nidhamu diara suspended kwasababu ya kadi za njano yule kocha wa yanga kama sio waamuzi kukesha GSM basi angekuwa kila mechi anakula njano hana nidhamu hta kidogo.
Mara zote tunawabia kama huna uwezo wa kuleta up-to date usianzishe uzi. Sasa wewe umekimbilia kuanzisha Uzi halafu umeuacha hewaniPwagu na pwaguzi leo kutegemea makosa ya kibinadamu mengi upande wa coastal union
Mmechoka sanaUnasema?
Clear OffsideLile goli kama vile Jean alikuwa offside.