Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Full Time: Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBCPremierLeague | Sheikh Amri Abeid | Novemba 26, 2024

Kila la kheri Chama la wananchi.

#Kila la kheri Yanga.
 
Kila la heri timu ya wananchi
Tushinde za kutosha
Mbumbumbu walie hadi wajiue
 
Kikosi Cha yanga.

Khomeny
Yao
Boka
Bacca
Mamnyeto
Aucho
Muda
Mzize
Ki
Maxi
Baleke
 
Leo shetani na jini wanacheza mechi... Hakuna jipya ni ndugu hao.
 
Yanga Bigwa ila Kwa kikosi hiki naona GG hapa
 
Back
Top Bottom