makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mzee MC alger anashika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi ya Algeria na Constantine anayecheza na Simba Anashika Nafasi ya Kwanza Kwenye Ligi hiyo hiyo ya Algeria na Simba anashika nafasi ya Pili kwenye ligi ikiongozwa na Azam ambaye anapoint 30 huku kacheza Mechi 13 na Simba nafasi ya Pili akiwa amecheza mechi 11 na Point 28 huku yangh akiwa nafasi ya Tatu..Ipo na wababe achana na awa watoto wanacheza ndondo cup
💪💪💪Wanadhimbaaaaaaaa
Haonyeshi hiyo hadhi ya play maker.Huyu ahoua hafai kuitwa mchezaji wa simba, tena eti ni PLAYMAKER wa simba.
Simba itafute mchezaji mwingine, huyu ni wa kawaida mnoo, wa kucheza kengold huko
Na bado.😂Upumbavu gani huu, yaan kujifunga tyuuh ndo nn sasa?
Mxxxxxiiiiiieeeew
Km nyie jana! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnachenentwa
Umenikumbusha mashoga wa jana walikuwa wanashabikia Mc Alger.Kuna mashoga hapa wameshangilia kweli goli la pili la CSC Nimeshangaa sana
Ya sukari na chai ya rangi, [emoji1][emoji1][emoji1]Tulia hii ndio Simba SC ya asali na maziwa [emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]
Naona mwarabu kakuweka kimeingja unaruka ruka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Tuko sanaWatakimbia uzi wao
Kaka achana nae huyo atakudhuru sio akili yake hiyo.Hoja yako hasa Nini? Au umechanyangikwa na waarabu
Kama 🐸 mlivyopigwa etiConstantine piga mbwa hao warudi kwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora sie hata tumepata la kufutia machozi.Na bado.[emoji23]