Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Kila La Kheri Mabingwa Wa Nchi hii wale Wanao ongoza Ligi ya Taufa...
Wafundisheni Yanga nini maana ya Kuongoza
Kimataifa
Daah ninesikitishwa sana na ndgu yangu DR Mambo Jambo kua shabiki wa hao wanga koro wizard, mikia.
Ondoka huko hustahili kabisa , timu bovu hilo sio muda litavuja na halirekebishiki
 
Naangalia jinsi penati ya Bravo ilivyotokea. Nakiri wazi Kibu sio mchezaji. Sijui kilitumika kigezo gani kumsajili kwa pesa yote ile. Yaani kafika tu kambutua mpinzani bila kuangalia athari
 
Ambaye akili yake haipo sawa na wewe usiye amini uwepo wa Mungu ilhali una kende na kisogo na hujui aliyekupatia ni nani.. Au unadhani hicho kisogo chako kinauzwa dukani?

Mheshimu na kumtambua aliyekupatia kende na kisogo bure kabisa.
Yupo wapi?

Huyo Mungu yupo kichwani kwako tu kwenye mawazo yako, ila kiuhalisia hayupo na hajawahi kuwepo.
 
Back
Top Bottom