Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Daah ninesikitishwa sana na ndgu yangu DR Mambo Jambo kua shabiki wa hao wanga koro wizard, mikia.
Ondoka huko hustahili kabisa , timu bovu hilo sio muda litavuja na halirekebishiki
Sasa Vishu mtata Yanga Na Simba Ipi Timu Bora kwa sasa Hivi 🤣🤣 we Timu imepoteza michezo kama Mzee anavyopoteza Meno🤣🤣🙌🙌

Halafu timu Inashika Mkia kwenye Group lao..
NA BADO UNAJIPA moyo kwamba Mtamfunga TP mazembe nje na Ndani?
 
Back
Top Bottom