Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Pale mnyama, anapokuwa kinyama.
🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Ulikuwa wapi jana?

Alikuambia nani kuwa matokeo ya leo yatakupa furaha usahau ya jana?
Oya huyu mwarabu leo atawafanya mrudi kwa mafungu mafungu

Achana na mengine leo ni luza ndiyo mada tajwa na simbilisi mmeliwa hapa
 
Back
Top Bottom