Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 757
- 1,526
😂😂😂 Kwnn mkuu?Wewe na rage pekee, nyie sio mbumbumbu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Kwnn mkuu?Wewe na rage pekee, nyie sio mbumbumbu.
NIMEFURAHI SANAAAKwa hiyo mmefurahi sio?
Unaijua football, hujaongea ukajimaliza kama wenzako.Kwnn mkuu?
Ulijuaje?Simba 1 - Constantine 2
YametimiaSimba itadufuliwa kama ifuatavyo
Constantine 2-1 Simba
Ubashiri wa shehe tumbo umeona simba ikitangulia.
Ubashiri umeona goli la kujifunga.
Ubashiri umeona makolo.
Kubadili matokeo, njoo na ubani kwa shehe tumbo nusu saa kabla.
Pamoja mkuu, pumziko jema, japo najua umevurugwa na matokeo.Kupo kimya aisee,yaan kimyaaa.
Asante sana mkuu
Sijawahi vurugwa aisee,napenda sana kula🤭Pamoja mkuu, pumziko jema, japo najua umevurugwa na matokeo.
Usiku mwemaPamoja mkuu, pumziko jema, japo najua umevurugwa na matokeo.
Kichaa kitaisha tukipata picha kama hii hapo mwakani au Bantu Lady unasemaje 😀😃Naona mmeponea kichaa leo😁
Mc Alger ni wa tatu ila ina michezo pungufu, akishinda kiporo anaongoza ligiMzee MC alger anashika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi ya Algeria na Constantine anayecheza na Simba Anashika Nafasi ya Kwanza Kwenye Ligi hiyo hiyo ya Algeria na Simba anashika nafasi ya Pili kwenye ligi ikiongozwa na Azam ambaye anapoint 30 huku kacheza Mechi 13 na Simba nafasi ya Pili akiwa amecheza mechi 11 na Point 28 huku yangh akiwa nafasi ya Tatu..
Unataka Niendeelee?
Nini kimetokea 😃 😃NIMEFURAHI SANAAA
MC alger ana Pungufu ya mchezo mmoja tuMc Alger ni wa tatu ila ina michezo pungufu, akishinda kiporo anaongoza ligi
wajeda mmelambwaMigambo tumewatuma vitani wamekufa acha wajeda tuingie wenyewe sasa
Mkuu ni vile tu kujimwambafai maneno ya mpira lakini matatizo ya timu zetu tunayajua kuna wewe unasema najua mpira wakati nilipokuwa natazama mpira kuna wana nilikaa nao nkawaambia kabisa kauli kama nlosema humu wakanizonga mbaya wakanita mamluki ingawa nilikuwa na uzi tena wa mwaka huu kabisa kisa tu ni namna simba walivyokuwa wanacheza kipindi cha kwanza, basi tu watu wanajisahaulisha tatzo la simba ni hilo reference ni mechi tulopigwa tano na yanga si tulitangulia haya kw msimu huu tena ile mechi nadhan na coast tulitangulia lakini mwsh wa mchezo ubao ukasoma sare utanikumbusha mechi nyingine.Unaijua football, hujaongea ukajimaliza kama wenzako.
Nyie mna point ngapi hadi sasa?Hiyo ni historia
Zamani sio sasa