Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Naona mmeponea kichaa leo😁
Kichaa kitaisha tukipata picha kama hii hapo mwakani au Bantu Lady unasemaje 😀😃
20241208_221534.jpg
 
Mzee MC alger anashika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi ya Algeria na Constantine anayecheza na Simba Anashika Nafasi ya Kwanza Kwenye Ligi hiyo hiyo ya Algeria na Simba anashika nafasi ya Pili kwenye ligi ikiongozwa na Azam ambaye anapoint 30 huku kacheza Mechi 13 na Simba nafasi ya Pili akiwa amecheza mechi 11 na Point 28 huku yangh akiwa nafasi ya Tatu..
Unataka Niendeelee?
Mc Alger ni wa tatu ila ina michezo pungufu, akishinda kiporo anaongoza ligi
 
Unaijua football, hujaongea ukajimaliza kama wenzako.
Mkuu ni vile tu kujimwambafai maneno ya mpira lakini matatizo ya timu zetu tunayajua kuna wewe unasema najua mpira wakati nilipokuwa natazama mpira kuna wana nilikaa nao nkawaambia kabisa kauli kama nlosema humu wakanizonga mbaya wakanita mamluki ingawa nilikuwa na uzi tena wa mwaka huu kabisa kisa tu ni namna simba walivyokuwa wanacheza kipindi cha kwanza, basi tu watu wanajisahaulisha tatzo la simba ni hilo reference ni mechi tulopigwa tano na yanga si tulitangulia haya kw msimu huu tena ile mechi nadhan na coast tulitangulia lakini mwsh wa mchezo ubao ukasoma sare utanikumbusha mechi nyingine.
 
Back
Top Bottom