Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Kila la kheri chama langu Young africans 💚💛💚💛

#DaimaMbele 💛💚💛 #NyumaMwiko💛💚💛
 
TIMU KUBWA ZINACHEZA SIKUKUU KUBWA KAMA XMAS! LENGO: KUSAMBAZA FURAHA YA SIKUKUU!
 
Uto..chalii.jpg
 
jina lako tu lina akisi utaahira wako. Et immrlivepool akili yako inawaza ujinga tu unaousema ni ujinga pia. Ukiona ni ujinga kushabikia timu hizi wewe nenda kashabikie mandazi.
Awe anasikiliza ile milio kwenye mafuta
 
Mechi kubwa timu kubwa refa mkubwa mtangazaji mkubwa pia, safi kabisa
 
Nashabikia Simba,
Ila Kwa maslahi mapana ya mkeka wacha Yanga ashinde tu.
 
Max na Yao kwasi mmewakosea nin jamani,Yanga tendeni haki,muishi vizuri na wachezeji,acheni unafiki usoni mnawasifia wachezaji kumbe moyoni mmebeba vinyongo kibao.
 
Max na Yao kwasi mmewakosea nin jamani,Yanga tendeni haki,muishi vizuri na wachezeji,acheni unafiki usoni mnawasifia wachezaji kumbe moyoni mmebeba vinyongo kibao.
Acha umbea mkuu.
 
Back
Top Bottom