Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Naona Wagogo wamejaza Uwanja. Christmas hakuna pakwenda.Dodoma ukitoa Bambalaga na Rainbow wanabaki na Shabiby Tu.
 
Uto wanatafuta point 3 siku ya sikukuu ilhali wanalunyasi wanakula bata tu muda huu..

Sikieni enyi vyura hata mkipata hizo point 3 mtaendelea kushindana na Lamba Lamba kugombea nafasi ya pili.

Acha wenyenchi tuendelee kula bata mida hii no stress.
 
Sawa penati fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…