Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Upo Dom au upo Ujugu arena?Mpira saaafi, magoli saaaafi, hakuna offside, hakuna lawama, unamfunga mpinza wako abakubali 101% bila lawama. Masuala ya kushinda na kukosa furaha huku Yanga hatuna. Dodoma kumekucha. ππ
Mbeleko FCPenaaaaaaaaat
Kama mochwari ya jeshi snBomu lingine litabamizwa mochwari ya jiji leo
Kama jana tu mwanetuMbeleko FC
Rose Muhando Kaitwa hukuKubebwa
Hakuna Penati hapo.Clear penalty
Mmeanza Vilio Mapema Sana
ubao unasoma ngap?Dube kajiangusha,
No penalty pale,
Mbeleko FC