Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Gusa Achia Twende Kwao.Dube kajiangusha,
No penalty pale,
Mbeleko FC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gusa Achia Twende Kwao.Dube kajiangusha,
No penalty pale,
Mbeleko FC
Huoni aibu mkuu?
Amezimia Hajui Nini Kinaendeleaubao unasoma ngap?
Na wanaona ubao unasoma goli nhapiMakolo mmeanzaa kuliaaa aisee
Twende kati😀😆😆😅Gusa Achia Kwende Kwao.
Tukilitoa hili goli moja la penati Yanga inabakia na goli moja, je nyie tukilitoa lile goli la penati ya jana mnabakiwa na nini kama 0?Penati ya mchongooooooo!!
Anazungumzia tabia siyo tendo. Anaonesha tayari bahasha imeshatembea😃😀😄Huoni aibu mkuu?
Angalia hata hio jezi ni ya msimu gani aisee..
Jana wanetu walikua wanakufa nyau nyau😅😅 watu ikabidi wampe fungu refa wasiaibikeKama jana tu mwanetu
Kwenye Mpira hakuna kutoa magoli ni kujumlisha tu magoli.Tukilitoa hili goli moja la penati Yanga inabakia na goli moja, je nyie tukilitoa lile goli la penati ya jana mnabakiwa na nini kama 0?
Swala hapa ni moja tuHuoni aibu mkuu?
Angalia hata hio jezi ni ya msimu gani aisee..
haya yalifanyika jana
Thubutuu wanaanzaje kugomea penati ilhali ni mbeleko fc?Yanga walitakiwa wagome kupiga ile penati. Penati ni magoli ya Simba.