Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kitambo tu ratiba ilikuwa inaonesha ni leo tarehe 25!hii mechi sio leo inachezwa kesho alhamisi tarehe 26
Mbona kitambo tu ratiba ilikuwa inaonesha ni leo tarehe 25!
Mmeanza vilio mapema sana na hapo Da Young Africans inajitafuta ila inaishanda Goal zaidi za 4+.Bomu lingine litabamizwa mochwari ya jiji leo
Inajitafuta? Timu ambayo mnaweza kucheza hata na Malaika?Mmeanza vilio mapema sana na hapo Da Young Africans inajitafuta ila inaishanda Goal zaidi za 4+.
Msimu Huu Tukikutana Tena Nakuona Unakufa Zaidi Ya Zile Mlizoea.
Bomu lingine litabamizwa mochwari ya jiji leo
Leo mnalala bila nguo za ndani Yanga anakufa kimoja tuKila la heri kwa Wananchi Young Africans. 💛💚
Ushindi ni muhimu. 💪
Vipi unauza Stop whatch siku hizi,
Leo mnalala bila nguo za ndani Yanga anakufa kimoja tu
Kwahiyo hamtaki Pacome afunge sio?Yanga bingwa [emoji172][emoji169]
Tunashinda 4-0
Aziz Ki
Dube 2
Mzize
Nawakumbusha tu kuwa Anthony Mavunde yupo ndani ya Yanga na pia Dodoma Jiji. Mengine mtajiongeza wenyewe.
Dunia inaenda kasi sana. Siku hizi Pacome analalamikiwa kwa kukaa sana na mpira.Kwahiyo hamtaki Pacome afunge sio?
Dube,Aziz ki ,Pacome wachungwe sanaDodoma Jiji VS Yanga SC
| NBC Premier League
| Jamuhri Dodoma
| Disemba 25, 2024
Saa kumi jioni
Few moments later akawa Mandonga. Kocha mhuni huyo kama wahuni wengine tu.