The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Haaa unayosema ni kweli kaka?Dunia inaenda kasi sana. Siku hizi Pacome analalamikiwa kwa kukaa sana na mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaa unayosema ni kweli kaka?Dunia inaenda kasi sana. Siku hizi Pacome analalamikiwa kwa kukaa sana na mpira.
Uto wana hali mbaya ya kisaikolojia. Tuhakikishe kamba zote za katani hadi za viatu tunazificha maana lolote linaweza kutokea.Haaa unayosema ni kweli kaka?
Leo Kocha Meck maxime hawezi niangusha.Uto wana hali mbaya ya kisaikolojia. Tuhakikishe kamba zote za katani hadi za viatu tunazificha maana lolote linaweza kutokea.
Dodoma Jiji VS Yanga SC
| NBC Premier League
| Jamuhri Dodoma![]()
| Disemba 25, 2024
Saa kumi jioni
Ni utabiri na maoni tu anaweza funga piaKwahiyo hamtaki Pacome afunge sio?
Team mpaka saiv haijatoa kikosi sijui wanaogopa nini?
Una uhakika?Team mpaka saiv haijatoa kikosi sijui wanaogopa nini?
Safi alieamzisha uzi ni fala mmoja aiseeUna uhakika? View attachment 3184747
Jitahidi uwe unachangia kiutu uzima basi unaponi quote. Ok?Leo mnalala bila nguo za ndani Yanga anakufa kimoja tu
Leo uhakika mkuu ngoja niweke buku 5Sasa mwanangu tia mzigo leo Yanga anashinda goli 3 Vincenzo Jr
Kwamba mimi niwaogope Askari magereza?Waite askari wenzio waje hapa😂😂Jitahidi uwe unachangia kiutu uzima basi unaponi quote. Ok?
Kabisa mzee,Labda pich ituangushe ila team iko vizuri.Leo uhakika mkuu ngoja niweke buku 5
Mkiletewa maandamano ya kudai Katiba mnalala mbele.Badala mfanye mambo ya msingi kama kudai katiba mpya nyie mmekalia simba na Yanga kenge kweli
Mkuu maneno ya Manara hayo sio mimi mzee.Kwamba mimi niwaogope Askari magereza?Waite askari wenzio waje hapa😂😂
Zamu yako itafika tu usiwe na haraka.Bomu lingine litabamizwa mochwari ya jiji leo
Kenge nyieKwa hakika mkuu!!