Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Natengua kauliGame rahisi saana kwa Madrid
.Ila Ancelotti anajua sana kucheza mechi kubwa
.mechi ni nyeupe sana kwa Madrid ila ndio wanaitupa
.Naicheki naona utoto tuu unafanywa na madrid langoni kwa Barca, Barca wakipress kidogo watapata goli
.Madrid ametengeneza nafasi nyingi, amepata offside nyingi na amekosa magoli mengi. Hii game kama Madrid atafungwa itakua na maumivu makali sana kwa mashabiki wao.
..Mara nyingi huwa hivyo kwa team inayo dominate
Na haijalishi itafunga timu ganBado goli moja hapa game imalizike. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ulikuwa mbele ya muda mkuu🤣🤣