Ngoja nikuelekeze we fala usiyejua kitu . Etimolojia ya Neno Derby Ni mashindano ya farasi [dhana ya msingi Ni ushindani mkali]
Katika mpira ,
linamaanisha mchezo wa mahasimu au wapinzani wa jadi (historia)
Upinzani huu uletwa au usababishwa na vitu vifiatavyo
1:dini
2:Mali ….(matabaka).
3:chimbuko….(history).
4:Makazi (ukaribu)
N amengineo.
Kwa wasio kuwa na akili Kama wewe kila lugha Wana namna Yao yakuita Derby , mfano katika Derby ya Simba na Yanga utakuta inaitwa Watani wa jadi , Derby ya Gormahia na Afc leopard inaitwa Mashemeji , Barcelona vs Real Madrid El clasico , na kwa taarifa yako hata timu za Taifa Zina Derby mfano Germany Vs Poland. Derby kwa kiswahili Ni Uhasimu wa jadi Sasa Utakuta mafala wasiojua kitu Kama wewe nikubisha tu