Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico.

Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu,

Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto.

Ni El clasico nzuri baada ya miaka mingi sana kuwa mechi ya kawaida.

Nini kitatokea? Nani atafungwa?
Huku kuna Mbappe, Vini Jr kule kuna Lamine Yamal, Pedri, Lewandowski.

Game itakuwa live kupitia AzamTv, DStv, Canal Sports

Live updates itakuwa hapa…
View attachment 3136085
Jana walinichania mikeka nliweka G G
 
Imepigwa middle block na funguo zikatupwa baharini Madrid jana hawakuwa na bahati tu ila mechi walikuwa wanamaliza kipindi cha kwanza.
 
Jude hakua na game mbaya jana. Kama alikua hataki kumtoa Mbappe basi angewachezesha na Endrick apunguze kiungo mmoja. Aseeh Don Carlo jana amenyanyasika sana
Jude alishachoka mapema, mbappe bahati haikuwa upande wake, offside zilimnyima magoli. Vini Jr kuna kitu alitaka akioneshe lakini mambo yakawa tofauti na matarajio yake.
 
Daah! hivi vitoto sio kabisa, sasa sio Barcelona tena bali hawa ni barceninho au wale vijana wa kikenya sijui mnawaita jay-z au p diddy nakomfiuz mambo sijui ndio uzee?.
 
Ndio Ni Derby no 2 kwa ukubwa duniani baada ya Derby ya Manchester United Vs Liverpool
Darby ni mechi ya upinzani ambazo timu zinatoka mji mmoja. Ndiyo maana ya derby
Manchester derby: city vs unitef
Madrid derby: real vs atletico
North london derby: arsenal vs tottenhum
Milan derby: inter vs ac milan
Hope you understand
 
Back
Top Bottom