Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Tunashukuru kwa kuufunika uwanja ili wakati wa kipige hakuna kenge itakimbia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lewandowski analijua goli haswa, goli la kwanza katulia sana n finisher wachache wanaoweza kufanya kama alivyofanya yeye.Lewandowski chupu chupu apige hat-trick. Umakini tu
Kweli kabisaHii Barca inanikbusha ile Prime Barca ya Xavi, Iniesta, Messi🔥🔥
Leo ndio nmemuona Don ancellot akiteseka, mbinu zimekata sijui alimuacha Jude ndani wanini na gem ilishamkataa tangu 1st half.Najua huko Perez aliko sasa hivi keshaanza kufanya mpango wa kupata kocha mwingine pamoja na kuangalia mbadala wa Mbappe.
Wamepigwa kama Ngoma team Kila mtu anacheza anavyojua hakuna hata build up Moja wao ni mbio mbio kama waleviMadrid wana hasira balaa
Kabisa hii game walikuwa wanaimaliza mapema sana tu ila ubinafsi wa Vini Jr na Mbape umewagharimu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Madrid alijipiga risasi za miguu mwenyewe dakika 45 za kipindi cha kwanza.