Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Sijaangalia mechi, ila nimefurahishwa na haya matokeo ya sare.

Na waamuzi waendelee kujitafakari. Kama wameamua kuwekeza kwenye bahasha na kubet, basi wasahau kuchezesha mashindano ya Kimataifa. Maana kule huwa hawawaendekezi waamuzi njaa na wasiojitambua kama hawa wa kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…