Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Dah! Chasambi Hana kosa. Camala aliomba mpira mwenyewe. Nasimama na Chasambi.
 
Sasa ndio tutawaonyesha kuwa class is permanent but form is temporary,,tumewapiga presha ya ushindi mfululizo Tena kwa Goli za kutosha mpaka wametema bungo,,yanga akishakaa pale juu unahitaji ufanye kazi ya ziada kumuondoa awezi kufanya kosa Tena iyo ndio nitolee,,gape la point 2 sio dogo!
 
Screenshot_20241202-030337_1.jpg

gonamwitu njoo uchukue risiti yako mwanetu Cc ephen_ Bantu Lady Shadeeya
 
Back
Top Bottom