Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

IMG-20250206-WA0093.jpg
 
Kama uongozi hauwezi kumalizana na hawa wachezaji wanaoturidisha nyuma inabidi mashabiki tuwe tunamalizana nao huku mtaani au hawa kuwazomea. Ile sio bahati mbaya kabisa

Simba mnapenda sana lawama ,mpira ndivyo ulivyo ,mnataka muwe mnafunga nyinyi tu , hao mnaowafunga means wamekosea na ndiyo mkapata nchance mkashinda na nyinyi leo mmekosea ndiyo maana mmejifunga.

Sasa Kichaa Kapewa Rungu(Mpira Umerudi Kwao) ,Sahauni tena kuwa juu labda kama Yanga haijacheza.

Yanga ya Sasa ni Kono la Nyani hamna hamna Tatu Bila.
 
Simba wamrudishe Kabaraka badala yake wampeleke Chasambi mkopo Singida FG.
Goli la Chasambi ni la kukusudia kabisa.🥺
Unamrudishiaje kipa mpira bila kumtazama alipo, alafu huku umelilenga goli.
Tena toka mbali kabisa.
Hii haiingii akilini kabisa
 
Back
Top Bottom