Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Na ukijumlisha na ile kauli yake ya kusema anamkubali zaidi Max Nzengeli! Lazima mbumbumbu watamtengenezea tu zengwe!

Kumbe makosa ya aina hiyo, hata wachezaji wa ulaya huwa wanayafanya, na bado maisha yanaendelea.
Kocha lazima atapewa maelekezo, hakuna kumchezesha huyo 😀😀😀
 
😀😃😃😃😃😀😀😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😀😀😃Nini kimetokea

Screenshot_20250206-182133_LiveScore.jpg
 
Back
Top Bottom