Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Tatizo sio goli alilojifunga Chasambi, Bali ni mfumo mzima wa Simba kupenda kurudisha mpira nyuma.
Che Malone keshafungisha magoli matatu katika mechi tatu tofauti za kombe la shirikisho kwa sababu ya kurudisha mpira kwa kipa.
Timu Iko golini kwa mpinzani wanarudisha mpira kwa kipa Hilo ni kosa la kocha awaambie wachezaji wake wapeleke mpira mbele na sio kurudisha nyuma bila sababu za msingi.
Sub anazofanya kocha hazisaidii Mutale anapenda kumpangia wakati Hana impact yoyote na pia anafanya sub bila kuangalia kwani Ngoma hakupaswa kutoka Wala Chasambi pamoja na kufungisha alikuwa na game nzuri.
 
Wanasinba

Maziko n Yale Yale

KINONDON na ununio kulekule

Never gv up
 
Back
Top Bottom