Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Sasa hii ndo style gani ya kutoa kadi?!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kuonesha kabsa kua refa alikua anaumizwa na haya matokeo ilibidi tu atoekadi kwa mikono miwili kama kwaya master πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Toka nizaliwe sijawahi kuona urudishaji mpira kama ule.
Alikuwa anamrudishia nani ?
Halafu shuti kali on target bila presha ya adui.
Si angeutoa nje tu.
Huku ni kukosa nidhamu ya mchezo wa mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…