Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Sasa hii ndo style gani ya kutoa kadi?!😅😅😅
Screenshot_20250206-192138.png
Kuonesha kabsa kua refa alikua anaumizwa na haya matokeo ilibidi tu atoekadi kwa mikono miwili kama kwaya master 😅😅😅
 
Toka nizaliwe sijawahi kuona urudishaji mpira kama ule.
Alikuwa anamrudishia nani ?
Halafu shuti kali on target bila presha ya adui.
Si angeutoa nje tu.
Huku ni kukosa nidhamu ya mchezo wa mpira.
 
Back
Top Bottom