Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
SGR.Sijawahi ona impact ya sub ya MUTALE kila mechi
NGuvu moyaaaNguvu moja
camara ndiye mzembe mpira kama ule umesha kushinda kwa nini usidake iwe penati uchomoe uwe man of the matchAmini maneno yangu huyu dogo Leo kafanya makusudi pale ππ
refa ana makosa ama hana kwa mujibu wa marudio yakoChasambi hana kosa lolote nimejerea marudio
Utajua mwenyewe bro ukirudi kipumbavu nakulamba block *****refa ana makosa ama hana kwa mujibu wa marudio yako
Camara huyo ni jirani yangu hapa kitaani kwangu yeye ni yanga damu damu huyo sema kule anacheza basi tucamara ndiye mzembe mpira kama ule umesha kushinda kwa nini usidake iwe penati uchomoe uwe man of the match
kwanza kwa mbeleko za refa asinge weka tuta
Uchawi upo, tutalipa
umri huu niogope block mkuu, lamba block acha mikwara ya pimpin camara hahahahahaUtajua mwenyewe bro ukirudi kipumbavu nakulamba block *****
πππHapa hamna kitu nilisema tangu mwanzo
ππumri huu niogope block mkuu, lamba block acha mikwara ya pimpin camara hahahahaha
Asante mkuu...ngoja tuchukue kumbukumbu na ushahidi pia.Sasa hii ndo style gani ya kutoa kadi?!π π π
View attachment 3227098Kuonesha kabsa kua refa alikua anaumizwa na haya matokeo ilibidi tu atoekadi kwa mikono miwili kama kwaya master π π π