Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Hata mpira kaumaliza kinyonge sana sio kama marefa wengine filimbi unaisikia
Inasikitisha kwa kweli.

Simba wanatafuta ubingwa kivyovyote vile.

Hii ya leo ni muendelezo tu wa kupendelewa na kubebwa na marefa wa mchongo.
 
Mambo mengine ni ya kujitakia tu.
Mtu ameshasema role model wake ni mchezaji wa mpinzani wenu lakini bado mnamuacha kwenye timu na mbaya zaidi mnamchezesha!
 
Mambo mengine ni ya kujitakia tu.
Mtu ameshasema role model wake ni mchezaji wa mpinzani wenu lakini bado mnamuacha kwenye timu na mbaya zaidi mnamchezesha!
Hii wala haiwezi kuwa sababu. Kuonyesha appreciation wala sio vibaya sababu sio wa kwanza kuonyesha kumkubali mtu, hata kwenye ligi kubwa ulimwenguni.

Siku mbaya kazini tu, hiyo ndio inatumika kama fimbo
 
Ujue mpka niliwaonea huruma yani leo haikua tu ridhiki
Mungu kawapigania sana vijana wa Fountain Gate kwa kila jambo
Niliagiza kitimoto na ugali ila sikushiba, sasa hivi nakula chipsi kuku ili kutimiliza furaha yangu.
 
Attachments

  • IMG-20250206-WA0003.jpeg
    IMG-20250206-WA0003.jpeg
    506.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom