Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wanywa supu komenti zao utaziona tu.Km 6 ni ndogo tafuta Chapati 6 kunywa na Chai
Sana.[emoji881]
Ushindi ni muhimu.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Haaahaa ๐ yaan kwa masaa machache.Uto wanaongoza ligi kwa kipindi kifupi sana kwa kweli!!
Wewe ni mkwerrri in JPM voice ๐Mimi ni yanga ila Leo simba atashinda. Fountain gate hamna timu palee.
Simba tuwasubiri kwa Azam singida bs. Au mme wao yanga ndo watadondosha point.
Nawaona utopwinyo walivyojazana kwa hii thread...Uto wanaongoza ligi kwa kipindi kifupi sana kwa kweli!!
Unaumia ukiwa wapi?photoshop
Juu ya kifua cha DadaakoUnaumia ukiwa wapi?
Sema swala la ban bibie , uone tukakavyo kukazia, na sio banio kama yule bibi kidawa.Hii mechi ni draw tofauti na hapo nifukuzwe jf.
AmeenMungu Ibariki Simba