ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Refa apewe asali mara moja vinginevyo itakua fedheha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zaidi ya mia 4 bila hata goli la offside Nbc
Fedheha inakuuuujaaaaa 🤣Kipindi cha pili kolo pumzi inakata
Kwa nini asifunge ligi kuu kwa siku zaidi ya 400, shirikisho ni kombe la luza ndiyo maana hata namungo alifika makundi.Kwanini mnang'ang'ania NBC tu?Kibu ndiye sababu kwa nini Simba ipo robo fainali Shirikisho na Utopolo yupo CRDB Cup
Wakati wachezaji wao wakiwa hawana vibali,wakacheza timu BHizi timu zote zinazocheza tuliota dose nene
Sasa shirikisho ni kombe la kuongea mbele za watu? Anyway Sisi huko tulitoa top scorer wa tournamentKwanini mnang'ang'ania NBC tu?Kibu ndiye sababu kwa nini Simba ipo robo fainali Shirikisho na Utopolo yupo CRDB Cup
Watakwita mchawiiHii ngoma itaisha draw
Sio lazima refa, kipigo kipo pale palerefa wa leo, humpendi
refa wa leo, humpendi
Natoaoaa sh naambiwa Refa kaweka airline mode mpaka tunaingia uwanjanSita zinawahusu