Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa usimalize kwanzaa🤣🤣🤣
Oyawe naona kakaziwa mnyama leo anakufaSana.
Hahahaaa. Hizo tano haziepukiki kwao Mkuu.Nawaombea washinde ili waje na confidence tuwande ✊ tena
Ligi bado. Simba haina presha sababu Kocha ameshakiri kuwa hategemei kushinda ubingwa labda itokee tu. Bado anajenga timu.kabisa mkuu ila matokeo yakibaki hivi utajua nani ana presha nan hana
zungumza na refa afanye kituTunakosa utulivu
pia bado ujakutana na yanga ya 5Ligi bado.
1-1Ngapi huko leo nipo pori