King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hapo ni hesabu tu,kama ulikimbia hesabu ni ngumu sana kuelewa...Sequence and Series---Arithmetic and Geometric Progression hapo.Nimesikitika sana, comment hii kuandikwa na wee.
Duuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Nimesikitika sanaa kwa akili hizo za uliye mqoute ndo maana wanasema wenye akili ni 2...
HaswaaHao wanatushikia siti tu maana sisi hatuwezi kupitia madirishani
Ni mwenye matatizo ya akili na maskini wa fikra na mali ndiye awezaye kuwaza unavyoweza we πΈ(idadi ya goli itatubeba maana sisi ni tunapigaga kono la nyani hatucheck na wowote).
Haswaa
Ni mwenye matatizo ya akili na maskini wa fikra na mali ndiye awezaye kuwaza unavyoweza we πΈ
Usinileteee nitakufukuza nayo...Ww mutu murefu Mbona unacheka sasa!
najua umeipenda sema nikuletee ntakupa bure kabisa sema ntakupa sharti moja tu uhamie yanga mazima ππ
Akileta uikate tu Wala usimfukuze.Usinileteee nitakufukuza nayo...
Hahaha yaani wewe kama simba angekuwa mwanaume ungemtongoza akuoe asee sio kwa unavyompendaUsinileteee nitakufukuza nayo...
Miaka 5 iliyopita kama sio 6Bashite akiwa RC wa Mzizima
Buhahahaha nimecheka tuu yani... π€£ π€£ π€£ π€£Hahaha yaani wewe kama simba angekuwa mwanaume ungemtongoza akuoe asee sio kwa unavyompenda
Sema unatuchukia sana YANGA BINGWA Sijui kwann! Usiwe hivyo mtani!
simba lady πBuhahahaha nimecheka tuu yani... π€£ π€£ π€£ π€£