Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Kila la kheri chama langu Young africans sc šŸ’ššŸ’›šŸ’š

#DaimaMbele šŸ’ššŸ’› #NyumaMwikošŸ’›šŸ’š
 
Yanga hucheza siku za sikukuu kama Xmas, Eid, New year , Valentine nk. Kama ilivyo kwa timu zingine kubwa duniani lengo ni kuwapa furaha wananchi
 
Kuna kila dalili za Utopolo kufukuza kocha baada ya mechi hii
 
Wanangu wa KMC kama tulivyokubaliana, huo mwiko ushindilieni hadi uzame kabisa maungoni mwa hao nyani wa pori la Utopolo.
 
Mpira umeanza.
Dk 1
0-0
 
Game iko.. msiambie Azam TV

 
Duh, Kidogo Mudathir afunge,
Dk 2
0-0
 
Yanga wanashambulia mno. Kosa kosa za karibu.
Kidogo bwana arusi afunge.
Dk 05'
0-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…