Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

Inshaallah game itaisha kwa kmc kupata ushindi leo, ila tuwe wakweli kwa mara ya kwanza Baada ya miaka 3 mashabiki wa yanga 50% wanaihofia simba inaweza kubeba ubingwa, simba hii ya mpanzu kushoto kulia kibu moto utawaka msimu huuπŸ”₯
Nipo na kina kibu na mpanzu hapa wanashangaa unavyowasifia wakati wao wanajiona kabisa hamna kitu
 
Kila la kheri kMC
UBUNTU BOTHO
Habib habib Thalantha bin thifuli ΩˆΩŠΩˆΨ«Ω†Ψ«Ψ«Ω†Ω†Ψ«Ψ«Ω†πŸΈ
labda kila la kheri ya kupunguza goli zisifike 5 ila kipigo kiko pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…