Leo ni mpira safi achana na ule wa kule Luangwa Lindi.Hakuna match Ngum hapa tutashuhudia makosa ya kibinadamu maana kuna mchezazi wa mashujaa atacheza rafu makusudi ndani ya box na rafa atafunika maana kunakibunda washapata baadhi ya wachezaji View attachment 3245933
Uko vizuri sanaMods nawashauri mngeset standard ya kuanzisha nyuzi za Live Match ziweje, sio kila mtu tu akimbilie kuanzisha thread ambazo hazina nyama za kutosha
Kwa mfano kwa hii thread ilitakiwa:
1. Itoe maelezo mafupi kuhusu profile ya Mashujaa Fc ni kina nani, inamilikiwa na nani, wapo mkoa gani, inashika nafasi ya ngp ktk msimamo wa ligi,, hvyo hvyo kwa Yanga
2. Itoe maelezo kwa ufupi kuhusu status ya game zao atleast tatu za mwisho zilizopita za NBC PL, na point walizokusanya ktk ligi
3. Ielezee head to Head baina ya hizi timu mbili ilikuwaje, angalau kwa kuangazia hata game 3 baina yao
4. Uimara na udhaifu wa baina ya timu hizi mbili pía kwa kuangazia wachezaji/washambuliaji wao wa kuchungwa /hatari
Kwa hayo machache tukifanya hivi itaongeza thamani na mvuto wa thread zinazoanzishwa kuhusiana na hizi live games zinazofunguliwa kila mara kiholela holela tu
Nawasilisha
Tutasikiliza redio, (Radio Tanzania) kwa maana marefa wa Tanzania hawafuati sheria unaweza vunja TV yakoLeo majira ya saa 10:15 jioni pale katika dimba la LAKE TANGANYIKA Kigoma, Mabingwa watetezi wa NBC PL, YOUNG AFRICAN SC watashuka dimbani kupepetana vikali dhidi ya wenyeji wao MASHUJAA FC!
usikose kufuatilia mchezo huu kupitia Azam Sport HD2 na kupitia TBC Taifa kwa matangazo ya Radio.
fuatilia updates zote mwanzo hadi mwisho wa mchezo huo.
Samahani muanzisha mada Mashujaa nae ni GSM?Leo majira ya saa 10:15 jioni pale katika dimba la LAKE TANGANYIKA Kigoma, Mabingwa watetezi wa NBC PL, YOUNG AFRICAN SC watashuka dimbani kupepetana vikali dhidi ya wenyeji wao MASHUJAA FC!
usikose kufuatilia mchezo huu kupitia Azam Sport HD2 na kupitia TBC Taifa kwa matangazo ya Radio.
fuatilia updates zote mwanzo hadi mwisho wa mchezo huo.
GSM hayupo huko mashujaa?Mashujaa piga yanga hao