Full Time: Mashujaa FC 0-5 Yanga SC| NBC Premier League | Lake Tanganyika | 23.02.2025

Kwaiyo wewe unasemaje kuhusu Mzee wetu Kaduguda aliyesema kuwa shirikisho ni mashindano ya akina na mashabiki wa Simba mkashangilia
Hamkujua kuwa ipo siku na nyie mtashiriki
Mlitutania na sisi tunawatania Sasa, mnatuona wabaya
Tatizo la ubongo wako usilihusishe na mzee Kaduguda asiye na uwezo wowote wa kubadili mashindano ya CAFCC....

Ubongo wako na 🐸🐸fans wote una hitirafu kubwa...

Kaduguda aliwaingiza cha kike mkajaa mamaeeh hebu tulieni sasa wanaume wanajifua kwa CAFCC robo fainali huku nyie mnajifua na CRDB.
 
Sawa kolo
 
Leo bwana harusi kajitoa sub na siyo kwa sababu ya kuumia. Hii timu au kikundi cha wahuni?

Mtu badala ya kumuachia aende Dubai akale mzigo alioutolea fuso mbili za ng'ombe mnampeleka Kigoma.
Hivi we jicho lako bado ni zima? Una shobo sana na yasiyo kuhusu
 
Ila uchawi upo aisee. Aziz Ki sasa hivi angekuwa anajiandaa kwenda Marekani kucheza Club World Cup dhidi ya Man City na Juventus. Badala yake yupo huku anaozeshwa halafu anapelekwa Kigoma ndani ndani akitoka hapo anapelekwa Sengerema.
 
Mechi ilipangwa vizuri sana, magoli mengi, bila red card wala penalty.
 
Leo bwana harusi kajitoa sub na siyo kwa sababu ya kuumia. Hii timu au kikundi cha wahuni?

Mtu badala ya kumuachia aende Dubai akale mzigo alioutolea fuso mbili za ng'ombe mnampeleka Kigoma.
Umehamisha goli tena? Msimu huu mbumbumbu mnateseka!
 
Ila uchawi upo aisee. Aziz Ki sasa hivi angekuwa anajiandaa kwenda Marekani kucheza Club World Cup dhidi ya Man City na Juventus. Badala yake yupo huku anaozeshwa halafu anapelekwa Kigoma ndani ndani akitoka hapo anapelekwa Sengerema.
Swali fikirishi AZIZI K alipo enda Dubai Kwa siku 4 baada ya kupokea tuzo ya MVP 2024, alienda na nani?
 
Hakika.

Ila tarehe 8 ndio mtaueleza ulimwengu ipi ni sahihi kama Mwenyezi-Mungu aliumba Moyo-Mwekundu au moyo wa kijani(njano) ?
Hata mbumbumbu wenzio wanakushangaa......... tofauti na ile mechi Kibu alifunga.....nikumbushe ni lini mmepata points tatu kwenye mechi za Ligi? Kwenu sare mnafunga mtaa kabisa.......hizo ndoto ulizo nazo nyie ndiyo huwa mnazi100 viwanjani
 
Attachments

  • Screenshot_20250224-092020_Facebook.jpg
    Screenshot_20250224-092020_Facebook.jpg
    391.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom