Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamkunyeni kwanza aliyewazuia kwenda robo ndo mrudi bongo kwa mbwembwe za ki 🐸🐸Hata kukunya wewe tunaweza
Yanga na Simba hazikucheza mashindano sawaKamkunyeni kwanza aliyewazuia kwenda robo ndo mrudi bongo kwa mbwembwe za ki 🐸🐸
Yanga na Simba hazikucheza mashindano sawa
Robo final ya mashindano ya kina mama ni sawa na hatua za mtoano za CAFCL
Vipi matokeo ya dk90All the best worst for Yanga😃
Aibu sana uwanja wa LT umenajisiwa leo kwa mara kwanza....Mwanza tunakuja nyumbani huko Kirumba ni nyumbaniVipi matokeo ya dk90
Kwani 5imba level zake ni kushiriki mashindano ya akina mama?Kwa hiyo mlishindwa kupiga yule mwarabu kwa sababu sio level yenu 🐸🐸
Kwa hiyo 🐸🐸ni akina mama pia?Kwani 5imba level zake ni kushiriki mashindano ya akina mama?
Kwani 5imba level zake ni kushiriki mashindano ya akina mama?
Muulize Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa mashindano ya mabintiKwa hiyo 🐸🐸ni akina mama pia?
Nilikuwa nakuheshimu sana ila kwa kuwa ile michuano 🐸🐸wakifika hadi fainali halafu wewe unaiweka kama michuano ya kina mama umepoteza heshima kabisa, sijui jinsia yako ni ipi ila una vinasaba vya kike kike kabisa.
Kalianzishwa na mtaalam Joseverest!Mkuu, Nadhani zinaanzishwa for fun bila malipo, hata hii ya kukimbilia kuwa wa kwanza kuanzisha nyuzi ni kautamaduni fulani for fun, mods-Jf ikianza kuweka masharti watajikuta wao ndo wana hilo jukumu kila mechi mwishowe nyuzi zisiwepo au zije kwa kuchelewa, tujazie nyama kwenye comment.
Ungekuwa rijari usingekubali kuingizwa chaka na Kaduguda, ila kwa kuwa uliingizwa chaka na ukajaa umewadharirisha wanaume wote wa kutoka kanda ya ziwa...Muulize Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa mashindano ya mabinti
Endelea kunipa heshima yangu
Me ni mwanaume rijali kutoka Kanda ya ziwa
Me naheshimu kiongozi wa Simba KadugudaUngekuwa rijari usingekubali kuingizwa chaka na Kaduguda, ila kwa kuwa uliingizwa chaka na ukajaa umewadharirisha wanaume wote wa kutoka kanda ya ziwa...
Utarudisha heshima yako pale tu utakapokiri wazi kuwa Kaduguda alikujaza upepo ukajaa kama puto 🤣
Unaweza kutwambia Kaduguda ana cheo gani huko CAF headquarters?
Mwanaume mzima tena wa kutoka kanda ya ziwa kwa wanaume wenye sura za kazi ukakubali kutongozwa na huyo jamaa wa kariakoo na kumkubalia?Me naheshimu kiongozi wa Simba Kaduguda
Kwaiyo wewe unasemaje kuhusu Mzee wetu Kaduguda aliyesema kuwa shirikisho ni mashindano ya akina na mashabiki wa Simba mkashangiliaMwanaume mzima tena wa kutoka kanda ya ziwa kwa wanaume wenye sura za kazi ukakubali kutongozwa na huyo jamaa wa kariakoo na kumkubalia?
Hapana aisee yaani nasema big no itakuwa wewe ni mzaramo na sio mwanaume wa kanda ya ziwa