Full Time: Mashujaa FC 0-5 Yanga SC| NBC Premier League | Lake Tanganyika | 23.02.2025

Full Time: Mashujaa FC 0-5 Yanga SC| NBC Premier League | Lake Tanganyika | 23.02.2025

Ngoja nikae chonjo kuanzisha uzi wa Makolo. Hii imekwisha na Waha wa Kigoma na Yellow Nation imefurahi pia.
 
Wajukuu wa Wasira wamepigika wakachakaa
 
Subirin muonge refa tena atoe kad nyekundu
1000247734.jpg

Halafu na sisi tutakuwa na mwiko nyuma? 😂
 
Ebu tupeni stats hapa derby zilizochezwa wakati wa mwezi wa ramadhani nani ameshinda nyingi?
sisi tunachokumbuka ni kuwapiga makolo mechi nne mfululizo hayo ya mwezi wa ramadhani mtajua wenyewe.

1. Simba 1 vs 5 Yanga
wafungaji.. Yanga~Keneth Musonda,Max Nzengeli 2goals,Aziz KI na Pacome Zouzoua

Wafungaji Simba Kibu D

2. YANGA 2 VS 1 SIMBA
Wafungaji Yanga Joseph Guede na Aziz KI
Wafungaji Wimba
Fred Michael Coublan

3. SIMBA 0 VS 1 YANGA
Mfungaji MAX

4. SIMBA 0 VS 1 YANGA
Mfungaji Kelvin Kijili og

Leteni nanyi hizo takwimu zenu za mwezi wa ramadhani
 
Back
Top Bottom