Full Time: Mashujaa FC 0-5 Yanga SC| NBC Premier League | Lake Tanganyika | 23.02.2025

Mods nawashauri mngeset standard ya kuanzisha nyuzi za Live Match ziweje, sio kila mtu tu akimbilie kuanzisha thread ambazo hazina nyama za kutosha

Kwa mfano kwa hii thread ilitakiwa:

1. Itoe maelezo mafupi kuhusu profile ya Mashujaa Fc ni kina nani, inamilikiwa na nani, wapo mkoa gani, inashika nafasi ya ngp ktk msimamo wa ligi,, hvyo hvyo kwa Yanga

2. Itoe maelezo kwa ufupi kuhusu status ya game zao atleast tatu za mwisho zilizopita za NBC PL, na point walizokusanya ktk ligi

3. Ielezee head to Head baina ya hizi timu mbili ilikuwaje, angalau kwa kuangazia hata game 3 baina yao

4. Uimara na udhaifu wa baina ya timu hizi mbili pΓ­a kwa kuangazia wachezaji/washambuliaji wao wa kuchungwa /hatari

Kwa hayo machache tukifanya hivi itaongeza thamani na mvuto wa thread zinazoanzishwa kuhusiana na hizi live games zinazofunguliwa kila mara kiholela holela tu

Nawasilisha
Umeongea vyema zamani Ili uandae uzi tulikua tunaingia chimbo kukusanya data Ili msomaji ajue nn kinachoendelea..
Siku Uzi ni Aya Moja tu ..[emoji23]

Hebu ona Uzi kama huu ulikua umeshiba
 
kitu ambacho umetoa sifa kwa uzi huo ni kipi? Uzi wa live lazima updates ya kile kinachoendelea uwanjani iwepo,maelezo mengi hayahitajiki, faida ya live updates ni kwamba ambaye hatazami game na yuko remotive areas atapata sawasawa na kile unachokipata wewe uwanjani au katika Tv. Niambie huo uzi wako ulioupa sifa una live updates? Wakati mwingine wahenga hawakukosea kusema FIKRI KABLA YA KUTENDA umeleta hoja yako bila kufkiria na kwa kukurupuka. tafakari tena upya
cc: Wakipekee, The Legacy , Kalpana
 
Acha ubishi tafuta nyuzi za zamani utajifunza kitu...
 
tubishane kwa hoja mkuu, umeniletea uzi wako wa zamani kama rejea kuifanya hoja yako iwe madhubuti,ila nimekupa faida na dhumuni la live thread na faida zake wewe umeanza kuleta hoja eti acha ubishi, ubishi upi?
 
Weka vikosi mkuu au bado ndio live yenyewe..
 
Back
Top Bottom