Full Time: Mashujaa FC 0-5 Yanga SC| NBC Premier League | Lake Tanganyika | 23.02.2025

Full Time: Mashujaa FC 0-5 Yanga SC| NBC Premier League | Lake Tanganyika | 23.02.2025

kabisa mkuu tukikutana na ambaye si familia kama simba anakula 5
Baleke , chama , Inonga na mwenda sasa hivi hatunao tena . Kayoko keshayatimba hivyo usitegemee kitu kama hicho.

Tena mkijichanganya safari hii historia ya 1977 ya sita kwa karai ( 6,0 ) na ile ya 2012 ya tano kwa mduara ( 5, 0) itajirudia
 
Sijapata 🤣🤣nijuze
Bwana wee FA ya Sudan imemkuta na hatia ya kupanga matokeo refa aliye cheza mchezo wa Al hilal vs Al Merrick kwa kuwapa kadi nyekundu Al Merrick kisa bahasha ya kaki yenye mkono mrefu unao onekana unatoka Al Hilal ili kuwa saidia wao katika harakati zao za ubingwa japo bado FA ya Sudan ipo kwenye uchunguzi mkali kujua ni nani hasa ndani ya Al Hilal mwenye jeuri hiyo ya kutoa mabilioni kwa wapuliza filimbi mbalimbali na kuwabeba katika mechi zao

FA ya Sudan imesema uchunguzi huu utasomba kila kitu kama kokoro ziwani
 
Back
Top Bottom