Full Time: Mashujaa FC 0-5 Yanga SC| NBC Premier League | Lake Tanganyika | 23.02.2025

Dah hivi wanachi wakiqmua hamna jeshi la kuwashinda! Poleni jeshi la Wananchi kwa hii ambush
 
Kwani 5imba level zake ni kushiriki mashindano ya akina mama?
Kwa hiyo 🐸🐸ni akina mama pia?

Nilikuwa nakuheshimu sana ila kwa kuwa ile michuano 🐸🐸wakifika hadi fainali halafu wewe unaiweka kama michuano ya kina mama umepoteza heshima kabisa, sijui jinsia yako ni ipi ila una vinasaba vya kike kike kabisa.
 
Muulize Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa mashindano ya mabinti
Endelea kunipa heshima yangu
Me ni mwanaume rijali kutoka Kanda ya ziwa
 
Kalianzishwa na mtaalam Joseverest!
 
Reactions: Tsh
Leo bwana harusi kajitoa sub na siyo kwa sababu ya kuumia. Hii timu au kikundi cha wahuni?

Mtu badala ya kumuachia aende Dubai akale mzigo alioutolea fuso mbili za ng'ombe mnampeleka Kigoma.
 
Muulize Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa mashindano ya mabinti
Endelea kunipa heshima yangu
Me ni mwanaume rijali kutoka Kanda ya ziwa
Ungekuwa rijari usingekubali kuingizwa chaka na Kaduguda, ila kwa kuwa uliingizwa chaka na ukajaa umewadharirisha wanaume wote wa kutoka kanda ya ziwa...

Utarudisha heshima yako pale tu utakapokiri wazi kuwa Kaduguda alikujaza upepo ukajaa kama puto 🀣

Unaweza kutwambia Kaduguda ana cheo gani huko CAF headquarters?
 
Me naheshimu kiongozi wa Simba Kaduguda
 
Me naheshimu kiongozi wa Simba Kaduguda
Mwanaume mzima tena wa kutoka kanda ya ziwa kwa wanaume wenye sura za kazi ukakubali kutongozwa na huyo jamaa wa kariakoo na kumkubalia?

Hapana aisee yaani nasema big no itakuwa wewe ni mzaramo na sio mwanaume wa kanda ya ziwa
 
Kwaiyo wewe unasemaje kuhusu Mzee wetu Kaduguda aliyesema kuwa shirikisho ni mashindano ya akina na mashabiki wa Simba mkashangilia
Hamkujua kuwa ipo siku na nyie mtashiriki
Mlitutania na sisi tunawatania Sasa, mnatuona wabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…