Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Tatizo la ubongo wako usilihusishe na mzee Kaduguda asiye na uwezo wowote wa kubadili mashindano ya CAFCC....Kwaiyo wewe unasemaje kuhusu Mzee wetu Kaduguda aliyesema kuwa shirikisho ni mashindano ya akina na mashabiki wa Simba mkashangilia
Hamkujua kuwa ipo siku na nyie mtashiriki
Mlitutania na sisi tunawatania Sasa, mnatuona wabaya
Sawa koloTatizo la ubongo wako usilihusishe na mzee Kaduguda asiye na uwezo wowote wa kubadili mashindano ya CAFCC....
Ubongo wako na 🐸🐸fans wote una hitirafu kubwa...
Kaduguda aliwaingiza cha kike mkajaa mamaeeh hebu tulieni sasa wanaume wanajifua kwa CAFCC robo fainali huku nyie mnajifua na CRDB.
Hivi we jicho lako bado ni zima? Una shobo sana na yasiyo kuhusuLeo bwana harusi kajitoa sub na siyo kwa sababu ya kuumia. Hii timu au kikundi cha wahuni?
Mtu badala ya kumuachia aende Dubai akale mzigo alioutolea fuso mbili za ng'ombe mnampeleka Kigoma.
Ila uchawi upo aisee. Aziz Ki sasa hivi angekuwa anajiandaa kwenda Marekani kucheza Club World Cup dhidi ya Man City na Juventus. Badala yake yupo huku anaozeshwa halafu anapelekwa Kigoma ndani ndani akitoka hapo anapelekwa Sengerema.Hivi we jicho lako bado ni zima? Una shobo sana na yasiyo kuhusu
Umehamisha goli tena? Msimu huu mbumbumbu mnateseka!Leo bwana harusi kajitoa sub na siyo kwa sababu ya kuumia. Hii timu au kikundi cha wahuni?
Mtu badala ya kumuachia aende Dubai akale mzigo alioutolea fuso mbili za ng'ombe mnampeleka Kigoma.
Swali fikirishi AZIZI K alipo enda Dubai Kwa siku 4 baada ya kupokea tuzo ya MVP 2024, alienda na nani?Ila uchawi upo aisee. Aziz Ki sasa hivi angekuwa anajiandaa kwenda Marekani kucheza Club World Cup dhidi ya Man City na Juventus. Badala yake yupo huku anaozeshwa halafu anapelekwa Kigoma ndani ndani akitoka hapo anapelekwa Sengerema.
Lol
Ukitaka kujua ni vingi mruhusu mmeo akupige goli 5!Ni aibu kwa Yanga kufurahia ushindi wa vibao vitano tu.
Hata mbumbumbu wenzio wanakushangaa......... tofauti na ile mechi Kibu alifunga.....nikumbushe ni lini mmepata points tatu kwenye mechi za Ligi? Kwenu sare mnafunga mtaa kabisa.......hizo ndoto ulizo nazo nyie ndiyo huwa mnazi100 viwanjaniHakika.
Ila tarehe 8 ndio mtaueleza ulimwengu ipi ni sahihi kama Mwenyezi-Mungu aliumba Moyo-Mwekundu au moyo wa kijani(njano) ?
Ni aibu kwa Yanga kufurahia ushindi wa vibao vitano tu.
Utahamia lini Jirani?? Nikupe jersey ya pin pin
Sasa hivi utaanza kusikia Ngungo boy outmechi ya tarehe 8 ni ya yanga tumewakumbusha mapema