Full Time: Mashujaa FC 0-5 Yanga SC| NBC Premier League | Lake Tanganyika | 23.02.2025

Hatuwezi kuwabagaza vijana wetu wapiganaji, vijana wakakamavu wa mapigo na mwendo.

Lazima tukumbuke uzalendo wao katika kulinda mipaka ya Taifa letu mpaka timu nyingine zinapata hata fursa ya kunywa Vibuduz supuz zao vidimbwini kwa amani.

Hima hima! Tanzaniaaaa

Hima hima! Tanzaniaaaa

Hima hima! Tanzaniaaaa
 
Mkuu, Nadhani zinaanzishwa for fun bila malipo, hata hii ya kukimbilia kuwa wa kwanza kuanzisha nyuzi ni kautamaduni fulani for fun, mods-Jf ikianza kuweka masharti watajikuta wao ndo wana hilo jukumu kila mechi mwishowe nyuzi zisiwepo au zije kwa kuchelewa, tujazie nyama kwenye comment.
 
maelezo ya nini wakati inajulikana mechi ni kati ya Mashujaa vs Yanga na mwanamichezo anaefuatilia NBC PL anajua yote hayo,uzi utakuwa na maelezo mengi ambayo si muhimu sana.
 
Tutasikiliza redio, (Radio Tanzania) kwa maana marefa wa Tanzania hawafuati sheria unaweza vunja TV yako
jesse john,enock bwigane,nazareth upete na wengine wapo kwa ajiri ya kukupa kile unachostahili kupata moja kwa moja toka uwanjani. Karibu.
 
maelezo ya nini wakati inajulikana mechi ni kati ya Mashujaa vs Yanga na mwanamichezo anaefuatilia NBC PL anajua yote hayo,uzi utakuwa na maelezo mengi ambayo si muhimu sana.
Dogo una tabia ya kukurupuka sana
 
Kila la kheri Yanga SC πŸ’š πŸ’› πŸ’› πŸ’š πŸ’› πŸ’› chama langu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…