Full Time: Mashujaa FC 0-5 Yanga SC| NBC Premier League | Lake Tanganyika | 23.02.2025

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii foul aliyochezewa lyanga angekuwa kachezewa mchezaji wa uto ni penalty πŸ˜‚
 
ni mara ya kwanza kuona mtu anapewa kadi pasipo kosa
Bila kusahau makolo pia ndio timu yenye historia ya kumfanya refa aoneshe kadi mbili(njano na nyekundu) kwa pamoja kutokana na hasira ya timu lake la makolo kushindwa kupata goli dhidi ya mpinzani wake.
 
Kwahiyo tumekubaliana kwamba sasa vilio basi. Tusisikie tena HabarI za Namungo vs Simba
Kwasasa akuna kubweka kama mnavyobweka tulishasema siku nyingi Kila timu ishinde mechi zake tupimane ubavu tuone nani ataibuka mbabe!
 
MAshujaa wamenyimwa penalt Dan Lianga baca karuka na mguu
 
TFF Wameamua kujitoa ufahamu na kufumbia macho mgongano wa maslahi kwenye soka. Haiwezekani mfadhiliwa amkomalie mfadhili, hana ubavu wa kula jeuri yake. GSM anaipeleka ligi yetu shimoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…