Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Ichukueni basi hiyo penatiSisi Mashujaa tumenyimwa penati ya wazi baada ya Baka kumrukia kama Jet Lii straika wetu Dany Lyanga
Sasa wewe ukitaka wambebe waruke naeHii ni 100% match fixing, hakuna league hapa.mabeki wanamwacha mtu aruke peke yake
Kihasibu imekaaaje?!Hii ni 100% match fixing, hakuna league hapa.mabeki wanamwacha mtu aruke peke yake
Mtasema tumenunua mechiHii ni 100% match fixing, hakuna league hapa.mabeki wanamwacha mtu aruke peke yake
Afu Kuna timu bila vioja vya wachezaji wa timu pinzani( maelekezo) haishindiKuna timu bila kadi nyekundu na penati haishindi.
Kama alivyopigwa namungo milio ikasikika toka kariakoo mabondeniKapigwa mashujaa analia 5imbaaa
Afu Kuna timu bila vioja vya wachezaji wa timu pinzani( maelekezo) haishindi
Kama alivyopigwa namungo milio ikasikika toka kariakoo mabondeni