Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

Line up ya Mc Algier
Screenshot_20241214-215825.png
 
Al Hilal wanashambuliwa
 
Freekick wanapata Mc Algier

Al Hilal wanaokoa shambulizi
 
Uwanja umeinama kwa Al Hilal

Mashambulizi mengi yanaenda kwao
 
Hilal washinde abakie mmoja anawania nafasi ya pili (akili yangu mbovu)
 
5'

Namna gani pale Mc Algier wanakosa goli katika nafasi ya wazi hapa
 
Ilikuwa ni shambulizi kali lakini kipa amefanya save
 
Hawa ndio Yanga wanawapigia mahesabu watawafunga kwa Mkapa???
 
Hii mechi haishauriwi shabiki wa Yanga aiangalie

Wanaweza kupoteza matumaini kabisa
 
Hatariiiiii pale kwenye lango la Al Hilal, kipa anafanya save nyingine
 
Hii mechi haishauriwi shabiki wa Yanga aiangalie

Wanaweza kupoteza matumaini kabisa
Kwani si walishacheza nao kipindi cha kwanza wakapoteana ila uzembe wa Yanga kuleta mbwembwe wakashindwa kupata goli kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili mabeki na kipa wakafanya uzembe wakafungwa magoli ya kipumbavu kabisa
 
11'

Bado mpira unachezwa kwenye eneo la Al Hilal
 
Back
Top Bottom