ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mechi ya marudiano na MazembeWe umechanganyikiwa,mechi ya leo Mc Alger ampige Mazembe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ya marudiano na MazembeWe umechanganyikiwa,mechi ya leo Mc Alger ampige Mazembe?
MC Alger wakishinda safari yenu ndio imeishia hapo ila Al Hilal wakishinda bado mnaweza kuwa na matumaini, sema ndio nazidi kuona umuhimu wa ule msemo wa "kila mtu ashinde mechi zake", tofauti na hapo ndio matokeo yake mnaanza kupiga zile hesabu za "tuki" na "waki" ili mrahisishiweIli yanga atoboe, mechi hii iisheje
Tusubiri kwanza matokeo ya hii mechi,then leta uzi wa probability ya Yanga kufuzu tupige mahesabu za mechi zilizobakiMechi ya marudiano na Mazembe
Wewe jamaa unaangalia mpira kwa mihemko wa kishabiki sana, timu hulazimishwa kucheza mpira fulani na mpinzani wake sio kwa kupenda yeye. Angalia Al Hilal alivyokuwa Dar alizidiwa possession hadi idadi ya on target lakini sio kwa kupenda bali kulazimishwa kuwa yeye awe mtu wa kusubiri counter attack. Hao hao Mc Alger unaowaona leo wapya walitoka sare na Tp Mazembe. Ndio maana nikwakwambia angalia yale yaliyokukuta kwa Belouizdad kwa kukariri isijekukuta tenaHawa majamaa wanavyocheza hapa sio wa kuwawekea matumaini Al Hilal kuwa wanaweza kushinda hii mechi.
Kuna uwezekano ile mechi yenu eidha walidharau au kulikuwa na wachezaji muhimu waliokosekana.
Mpira unaochezeka saizi sio ule kabisa ambao mlichezewa nyie.
Hata wewe mwenyewe unajua kuwa mazingira yaliyotokea kwa Belouzdad ni tofauti na sasa.Wewe jamaa unaangalia mpira kwa mihemko wa kishabiki sana, timu hulazimishwa kucheza mpira fulani na mpinzani wake sio kwa kupenda yeye. Angalia Al Hilal alivyokuwa Dar alizidiwa possession hadi idadi ya on target lakini sio kwa kupenda bali kulazimishwa kuwa yeye awe mtu wa kusubiri counter attack. Hao hao Mc Alger unaowaona leo wapya walitoka sare na Tp Mazembe. Ndio maana nikwakwambia angalia yale yaliyokukuta kwa Belouizdad kwa kukariri isijekukuta tena
Tunaanza na kwako kwanza hater je hukuipiga kejeli kuwa Yanga ndio safari imeiva baada ya mechi tatu kuambulia point 2 tu huku wenzie wote wakiwa na point 5 na 4?Hata wewe mwenyewe unajua kuwa mazingira yaliyotokea kwa Belouzdad ni tofauti na sasa.
Hii mechi Bado haiamui kundiTusubiri kwanza matokeo ya hii mechi,then leta uzi wa probability ya Yanga kufuzu tupige mahesabu za mechi zilizobaki
Nimekuambia hata wewe unaelewa mazingira ya kipindi kile sio ambayo yapo leo.Tunaanza na kwako kwanza hater je hukuipiga kejeli kuwa Yanga ndio safari imeiva baada ya mechi tatu kuambulia point 2 tu huku wenzie wote wakiwa na point 5 na 4?
Kwanini isiamue?Mc Alger akishinda anakuwa na point 7, Al Hilal anabakia na point 6,huoni ugumu unakuja Yanga atatakiwa ashinde mechi zote hadi za ugenini?Hii mechi Bado haiamui kundi
Aisee ile ya mchana ilikuwa siyo mechi hata timu za kwenye ligi yetu kina Dodoma Jiji hawachezi vile,ile ni takataka ongezea na kamera mbovu ya Azam.Baada ya kutoka kuangalia yale mataputapu ya Mchana hatimae sasa tunaangalia Mechi nzuri kutoka kwa Wandewa wa Jiji.
Kila mechi inaamua kundi mkuu. Mfano ikiisha sare ni nzuri kwa Yanga na Mazembe kuliko Alger akishinda.Hii mechi Bado haiamui kundi
Yanga ana mechi 1 ya ugenini dhidi ya Al HilalKwanini isiamue?Mc Alger akishinda anakuwa na point 7, Al Hilal anabakia na point 6,huoni ugumu unakuja Yanga atatakiwa ashinde mechi zote hadi za ugenini?