CODE-04
JF-Expert Member
- Oct 17, 2023
- 961
- 2,716
Simba ni nzima sio? Na magoli yenu ya penalt kila mechi mpaka shirikisho😁Ulisema mechi zijazo mtakuwa fiti pia kuna nafasi mnaweza kusajili,je hao hawatafanya usajili na wanakoelekea hawatakuwa na fitness? Tatizo hamtaki kukubali kwamba timu yenu ni mbovu,mechi 3 point 1 na upo mkiani bado mnawaza kumfunga Al hilal ugenini,hata hizo za nyumbani zinaweza kuota mbawa